Yesu alifanya nini na kwanini

Yesu alisema kuwa Lazima tuamini kuwa” yeye ndiye “Ni nini hiki Yesu alifanya, na kwa nini alifanya hivo?

Fahamishwa kutoka 1Timotheo2:5vile Yesu aliwaitwa.Tuko na Mungu mmoja, mpatanishi mmoja Kati ya Mungu na mwanadamu, Yesu Kristo.

Mtume Paulo anamwita Yesu mpatanishi mmoja Kati ya Mungu na wanadamu. Mpatanishi ni kuwa katikati. Ni mtu anayesimama kati ya watu wawili -katika muktadha huu, Kati ya Mungu na mwanadamu. Lakini kwa nini kuhitaji mtu Kati ya Mungu na mwanadamu? Lazima tuwe tumetenganishwa na Mungu Ndio kuna haja ya kuwa na mpatanishi. Lakini ni nini kilileta huku kutenganishwa? Unaposoma Isaya 59:2.

Nabii wa agano la kale anaandika kuhusu hiki chenye kimetenganisha. “Lakini dhambi zenu zimewatenganisha na Mungu wenu, na maovu yenu imeuficha uso wa Mungu ili asiweze kusikia. “Nabii anasema dhambi zetu zimeleta kutenganishwa. Ni dhambi zetu ndizo huficha uso wake. Hii hutupa uamuzi. Kwanza Lazima tuulize swali. Tunaweza kuwa na kitu chenye kinaweza kutuokoa? Agano jipya hutufunza kuhusu nguvu za Mungu zinazotuokoa.

Soma warumi 1:16″sionei haya Injili ya Bwana, kwa sababu ni nguvu za Mungu ziletazo wokovu kwa kila mtu anayeamini, kwa myahudi Kwanza, na pia kwa Myunani.

Injili? Injili ni nini ?Neno linamaanisha Habari njema. Lakini Wacha tuendelee na tuwache bibilia ijifafanue yenyewe. Soma 1Wakorontho15:1-4″sasa nawajulisha ndugu zangu, Injili niliyowahubiria, ambayo pia mliipokea, ambayo katika hiyo mwasimama, na katika hiyo mliokoka,kama mtashikilia neno niliyowahubiria, imani yenu si bure,. Niliwahubiria ka umuhimu wa Kwanza wenye nilipokea pia ya kuwa Kristo alitufia dhambi zetu kulingana na maandiko, na ya kuwa alizikwa, na kufufuka siku ya tatu kulingana na maandiko. Fahamishwa Injili in sehemu tatu muhimu.
-Kristo alitufia dhambi zetu
-Kristo alizikwa
-Kristo alifufuka siku ya tatu

Hapa tuna taswira ya Injili kwa mfano.
Bonyeza kwa picha na uone kikamilifu.

Kwa nini,Kristo alikuwa afe, azikwe, na afufuke kutoka kaburini kutuokoa? Mtume Paulo anaandika tunahitajika damu ya Yesu (ambayo ni kiwakilishi cha kifo chake)ili kutukomboa. Soma chenye aliandika kwenye waefeso 1:7. katika yeye kuna ukombozi kupitia kwa damu yake, msamaha wa dhambi, kulingana na utajiri wa Neema yake.

Ni jambo lililo na maana Sana Mungu kutusamehe dhambi zetu. Kwanza Mungu anatamani kutusamehe dhambi zetu. Anataka kutuondolea dhambi. Soma jinsi Yuda anaelezea katika Yuda 24.Sasa kwa Yule aliye na uwezo kutuzuia kuanguka, kutufanya tusimame katika uwepo wa utukufu wake bila mawaa na kutufanya kuwa na furaha tele.

Mungu anataka atuwasilishe bila mawaa, au bila makosa! Yesu anashughulikia matatizo yetu mengi makubwa tuliyo nayo. Na Hio ni shida yetu ya dhambi. Kwa sababu ya kifo cha Yesu, alitukomboa kutoka kwa dhambi. Lakini Baada ya Yesu kuzikwa, alifufuka kutoka kaburini mzima. Kwa nini ahitaji kufufuka kutoka kaburini? Kwa sababu alitoka kaburini mzima, Yesu alichukua kutushughulikia. shida ya pili ka binadamu tuko nayo ni shida ya KIFO na KABURI.

Soma 1wakorontho15:20-23.”Lakini Sasa Kristo alifufuka kaburini, mzaliwa wa Kwanza kwa wale wanaolala. Kama vile kifo kilikuja kupitia mwanadamu, ni kwa mwanadamu pia ufufuo ulikuja kwa waliokufa. Kupitia kwa Adamu wote hufa. Sasa pia katika Kristo wote hufanyika hai. Lakini kila kitu kwa mpangilio wake. Kristo mzaliwa wa Kwanza, Baada ya hayo wale wa Kristo Wakati wa kuja kwake.
Tambua vitu viwili ambavyo Injili inatuletea unaposoma 2Timotheo 1:10.Lakini sasa imefunuliwa kwa kuja kwa mwokozi Kristo Yesu, ambaye aliondoa kifo na kuleta uzima na umilele kwa nuru kupitia Injili. Injili ilituletea.
-Uzima
-Umilele

Mtume Paulo anaweka kwa njia nyingine Warumi5:10″Tulipokuwa bado maadui, tulipatanishwa kwa Mungu kupitia kwa kufa kwa mwanawe, zaidi Sana kupatanishwa, tunaokoka kwa uhai wake, kupitia kifo chake tulipatanishwa. Kupitia kwa uzima wake tunaokoka. Wale walio HAI na MAUTI(kifo).

Sasa hio ni HABARI NJEMA. Bado kuna kitu ambacho tunahitajika kujiuliza.
Nawezaje kuendelea na Injili? Nawezaje kuokoka kupitia kwa Injili? Wacha tuendelee na kusoma kiundani na tuone jinsi bibilia hujibu maswali haya kwa kubonyeza hapa chini.

onyeza kwenye picha hapo juu kuendelea na masomo